Utapeli
umekua mwingi sana hapa mjini, watu wengi wanatapeliwa kila siku.
Kutapeliwa ni kutapeliwa tu haijalishi ujanja utakaotumika ni wa sasa au
wa zamani. Ila siku za karibuni kumetokea aina mpya ya utapeli ambao
wahathirika wakubwa ni watu wanaotoa huduma za Mpesa na Tigo Pesa.
Kama
utakavyoona katika video hii ni ngumu sana kugundua kama umeshatapeliwa
mpaka baada ya muda upite. Kwa mfano huyu jamaa aliyetapeliwa hapa
kaibiwa 723,000 na matapeli hao. Hebu tazama video hii na wewe usije
ukaibiwa kama huyu.
0 comments:
Post a Comment