Friday, January 11, 2013

MH.TEMBA AKIRI KUIBIWA VIFAA VYA GARI KWA MARA YA TANO SASA





Kama ulikuwa  hujui mtuwangu wa nguvu  mwezi uliopita MH .TEMBA   alikuwa kati ya  watu walioibiwa  vifaa vya gari   ambalo  pia picha zake nilizi weka  kwenye webst .Hii leo Temba ameamplify kupitia amplifaya  kuibiwa  vitu vya gari lake kwa mara ya tano.Mara ya kwanza aliibiwa  akiwa na  suzuki mikocheni mara ya pili akiwa  na gari aina ya Gx100 akiwa diamond jubilee mara ya tatu chango’mbe akiwa na gari aina  ya Gx110 mara nne Gx100.na  mara ya tano  Temba  ameibiwa jana nyumbani kwake.


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger