Thursday, July 23, 2015

Picha: Maandamano kupinga kuondolewa kwa bendera ya Waasi,mzungu mmoja ajikojolea baada ya kutishwa na mtu mweusi,South Carolina

Mmoja wa kikundi cha KKK alijikojolea baada ya kutishwa na mtu mweusi. Lol

Gavana wa South Carolina aamua kuondoa 'confiderate flag' Ikulu baada ya watu weusi 9 waliokua wanaenda kanisani kupigwa risasi na mtu aliyetaka kuonyesha uwezo/ukuu wa watu weupe. Muuaji huyo alijulikana kwa jina la Dylann Roof mwenye miaka 21.

Debate ya kuiondoa au kutoiondoa bendera ya waasi Ikulu ilifanyika kutokana na watu kuuana sana nchini humo pamoja na maamuzi ya watunga sheria waliamua kuiondoa na ndio iliyosababisha maandamano hayo.

Polisi wakimzuia mwandamanaji wakati member wa Ku Klux Klan wakiondoka kituo kikuu cha polisi
Mwanaume akiwa ameshikilia Bendera ya waasi maeneo ya Ikulu

Waandamanaji waliounga mkono kuondolewa kwa Bendera ya waasi wanaojiita "Black Power" maeneo ya Ikulu. Ilibidi serikali wazuie silaha eneo hilo kama tahadhari. 

Ku Klux Klan members deliver the Nazi salute during a demonstration at the statehouse.
Ku Klux Klan members wakipunga bendera za waasi na Bendera yao ya KK Klan kwenye ngazi za Ikulu

 Protesters shout at Ku Klux Klan members.

A KKK member yells at counter-demonstrators.

Counter-demonstrators shout at Ku Klux Klan members.

Members of the Ku Klux Klan yell as they fly Confederate flags outside the statehouse.

A Ku Klux Klan members shows off his Nazi tattoos.

Ku Klux Klan members depart the state capitol building under police escort.

Protesters against the Ku Klux Klan tear a Confederate flag
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger