Mei 1 2016 Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (MEI MOSI) yalifanyika kitaifa mkoani Dodoma na mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Watu mbalimbali walijitokeza katika viwanja vya Jamhuri.
Rais Magufuli alipata nafsi ya kusikiliza changamoto mbalimbali za Wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) kisha baadae akasimama na kuzungumza na watu wake; tazama video hapa chini
0 comments:
Post a Comment