Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
katika Uwanja wa ndege wa Entebbe, nchini Uganda kwa ajili ya kuhudhuria
sherehe za kuapishwa kwa Rais Yoweri Museveni, kesho.
Wednesday, May 11, 2016
Picha: Rais Magufuli Awasili Nchini Uganda Leo Kuhudhuria Sherehe Za Kuapishwa Rais Museveni
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment