Mwili wa Marehemu Andrew Nick Sanga ukiwa Umewasili Tanzania.
Waliowasili na Mwili wa King Drew wakiwasili katika uwanja wa kimataifa wa Julius Kambalage Nyerere
Baadhi
ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamefika katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere kuupokea mwili wa Mpendwa
wetu Andrew Nicky Sanga
Baadhi ya Ndugu jamaa na Marafiki wakiwa katika eneo Maalum kwa ajili ya kuupokea mwili
Baadhi ya watu wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kuupokea Mwili
Yalikuwa ni Majonzi
Mwili
wa Mpendwa wetu Andrew Sanga ukiwa umeshawasili na hapa Ndugu jamaa na
Marafiki wakiwa wanaupeleka katika Gari Maalum Tayari kwa kuelekea
Muhimbili kumhifadhi.
Mwili wa Marehemu ukiwa umewasili Muhimbili kwa ajili ya kwenda kuhifadhiwa
Mmoja wa Mwanakamati ya maandalizi akitoa taarifa fupi
Baadhi ya ndugu jamaa na Marafiki waliofika kwa ajili ya kumsindikiza Marehemu Andrew Sanga Muhimbili Kuhifadhiwa jana usiku
0 comments:
Post a Comment