Siku moja baada ya kituo cha afya cha Tandale kukiri kumpokea kijana
Abdul Mohamed anayedaiwa kulishwa sumu na mwajiri wake na kisha kupewa
rufaa katika hospitali ya Mwananyamala, kumemlazimisha mganga mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni, Dk. Azizi Msuya kuingilia kati swala la mgonjwa
huyo baada ya kuwapo kwa taarifa zinazobabaisha.
0 comments:
Post a Comment