Pamoja na jitihada za Serikali kuhamasisha Wananchi
kutoka katika maeneo Hatarishi Mabondeni, ambayo kwa kipindi cha mvua
huathirika zaidi.
Wananchi wa baadhi ya Maeneo ya Mabondeni, husuan eneo
la Mto Msimbazi wamepatwa na adha kubwa kutokana na mvua zinazoendelea
kunyesha Dar es Salaam.
Katika picha ni baadhi tu ya maeneo
yaliyoathirika.Athari hizo zimeonekana katika maeneo mbalimbali kama
vile Jangwani,Mbezi Beach,Tandale kwa Tumbo.




0 comments:
Post a Comment