Friday, April 29, 2016
Hatimaye LULU Avishwa Pete ya Uchumba
Kuna matukio mawili tu makubwa maishani yanayopelekea kidole cha chanda cha mwanamke kipate mgeni – pete, kuchumbiwa ama kufunga ndoa.
Je! Elizabeth ‘Lulu’ Michael amefanya moja kati ya hilo? Ni kwasababu picha zinaonesha kidole chake kikiwa na pete hali ambayo imewafanya watu wengi wajiulize maswali.
Kwenye picha moja, Lulu anaonekana akiionesha pete hiyo na kuandika: Simplicity z the key.
Kwenye picha nyingine ameandika: Pale unaposikia Kwa…Kwa…Kwa…Kwa Ya Rihanna wakati WA kupiga picha #simplicityisthe
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment