Diamond Platnumz ameendelea
kufungua milango mingine ya collabo na mastaa wengine Africa.Ni leoleo Donald kaiachia audio ya huu
wimbo wa ‘Wangu’ ambao kamshirikisha Diamond Platnumz… hajakawiza mambo,
kaisogeza na video kabisa ili tuenjoy vizuri.
Angalia single hii mpya aliyoshirikishwa na msanii huyo kutoka South Africa
ambayo aliamua kuiita jina la kiswahili ‘Wangu’.
Video
0 comments:
Post a Comment