Tuesday, July 21, 2015

Picha: Waathiriwa wengine wa mlipuko walikua mama na mtoto wake,inasikitisha sana


Pichani ni Ve Nartan Kilic na mtoto wake Ferdane Kilic,waliofariki jana baada ya tukio la kigaidi lililofanyika kwenye mkusanyiko wa vijana huko Uturuki. Kwanini watu wanauana kila siku? Wasipoua, wanajiua tumekua kama wanyama tena hata wanyama nao wanastaha hawajiui kama sisi,yani vifo kila sehemu. Kweli dunia ilipo na inapoelekea Only God knows. Its so sad..... 

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger