![]() |
Khamis Mkundo Kijana aliyejinyonga. |
MADENTI wa Shule ya Sekondari Sabasaba na Kituo cha Krelluu mjini hapa wamemlilia mwenzao, Khamis Mkundo aliyejinyonga kwa hofu ya kufeli mtihani wa taifa (Necta) wa kidato cha nne, mwaka huu.
Wana usalama wakisoma barua aliyoiacha denti huyo. |
Jamaa huyo alijiua Jumapili iliyopita kwa kujinyonga kwa kamba na kuacha barua ndefu iliyosomeka kuwa amefanya hivyo si kwa kupenda, ila alichukizwa na hatua yake ya kufeli mara kwa mara akajiua ili kuepuka aibu hiyo.
0 comments:
Post a Comment