Tuesday, October 15, 2013

MMILIKI WA VIUNGO BANDIA VYA BINADAMU VILIVYOKAMATWA KENYA-MOMBASA AJULIKANA....



Hatimaye mmiliki wa kasha la mizigo lililonaswa katika bandari ya mombasa likiwa na sanamu za vibwengo vya kutisha, amejulikana

Kwa mujibu wa taarifa rasmi, kampuni ya 'Market Masters' wanaomiliki maduka ya Village Market hapa Nairobi wamekiri kuagiza shehena hiyo kwa sherehe zao za kila mwaka. Wakati huo huo, mwanasiasa Omingo Magara amekanusha kuagiza shehena hiyo na akaitaka halmashauri ya ushuru nchini KRA kumuomba msamaha mara moja.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger