Tuesday, October 15, 2013

DEREVA MWANAMKE WA BASI LA NDENJELA COACH LA SAFARI ZA MBEYA KWENDA DAR AWA KIVUTIO KWA ABIRIA....

DEREVA NUSURA MAGULUKO 28 AKIMWOMBA MUNGU KABLA YA KUANZA SAFARI

SASA HAPA YUPO KAZINI
BAADHI YA ABIRIA WAKIFURAHIA MWENDO MZURI WA DEREVA NUSURA MGULUKO




ABIRIA WAKIPATIWA HUDUMA YA VITAFUNWA NDANI YA BASI HILO LA NDENJELA

WAFANYAKAZI WA BASI LA NDENJELA KABLA YA KUANZA SAFARI

MABASI YA NDENJELA NIYAKISASA YANAFANYA SAFARI ZAKE MBEYA  DSM KILA SIKU
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger