Wednesday, May 15, 2013

UPDATE: AJALI MBAYA YA GARI YAUA WATU WATATU PAPO HAPO MCHANA HUU.....ANGALIA PICHA ZA AJALI HIYO HAPA...!!


JINAMIZI  LA AJALI LINAZIDI KUIKUMBA MBEYA WATU WATATU  WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA ROLI LA KAMPUNI YA KICHINA LILILOKUWA LIMEBEBA KIFUSI KUKATIKA BREKI NA KUPINDUKA MAENEO YA MWANSEKWA BARABARA YA CHUNYA MCHANA WA SAA 7 MPAKA SASA MAITI MBILI ZIMETAMBULIWA NA MOJA IMEHARIBIKA VIBAYA SANA KIASI CHA KUSHINDWA KUTAMBULIWA 



BAADHI YA WACHINA WANAOTENGENEZA BARABARA YA CHUNYA WAKIWASIKILIZA WANANCHI WALIOSHUHUDIA AJALI HIYO IKITOKEA

BAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI KUPATA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA  MPAKA TUNA TOKA HOSPITALINI HAPO TUMEACHA MAJERUHI WATANO WAKIENDELEA KUPATA MATIBABU
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger