Monday, May 13, 2013
LIKIZO YA HAKIMU YAKWAMISHA DHAMANA YA LWAKATARE LEO...!!
Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare (CHADEMA) katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili na hivyo Mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kuipiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 Mei.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment