Sir Alex Ferguson amewahakikishia mashabiki wa Man U kwamba Wayne Rooney anatoka kuondoka Man U.
Rooney (miaka 27) aliachwa nje kwenye mechi iliyofanyika jana kati ya Man Utd vs Swansea (2-1) katika uwanja wa Old Trafford.
“I don’t think Wayne was keen to play, simply because he has asked for a transfer,.
I think he wants to think it through in his mind – I think that’s a good idea. We’re not going to let him go.
I think maybe he is a bit frustrated. He has been taken off once or twice in the past couple of weeks.” Ferguson told Sky Sports 1
Paris Saint-Germain na Chelsea ndizo timu zenye nia ya kumsajili mshambuliaji Wayne Rooney.
0 comments:
Post a Comment