Wednesday, March 13, 2013

WEMA SEPETU AAMUA KUZITIA MKASI NYWELE ZAKE...


Mrembo na Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu ameamua kubaki natural baada ya kuzinyoa nywele zake. Kupitia Instagram, Wema ameshare picha hizo na kuandika, ‘me apa nimenyoa nywele’. Ingia ndani kusoma maoni aliyoyapata baada ya kunyoa.



] citystarboutique Looking so young and freshhhhhh, lovely look 12min

[ @ ] stevejns Daaaah
 …u loooks nycc jaman..y ukufanyaga hyo toka kitambo? 11min

[ @ ] naibabishi
 Cjazoea kukuona hvo @wemasepetu 10min

[ @ ] jo_mphela
 Now u luk u as u @wemasepetu 8min

[ @ ] hassandesuzzo
 Pendeza xna endelea kukaa hvyo hvyo. 4min

[ @ ] mangekimambi
 Whaaaaat??? Hahaha you look cute my baby sis . #teamnatural all da way @ssepetu @doreennjunwa 4min

[ @ ] britkyle
 Beautiful as always! 2min
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger