Wednesday, March 6, 2013

LAANA: VIDEO IKIMUONYESHA MWANAMKE AKIHUBIRI HUKU MATITI YAKE YAKIWA WAZI... NI AIBU...!!

Mwanamke huyu anaonekana akihubiri  huku akiacha sehemu yake ya matiti wazi wazi bila kujali kuwa ni kinyume na anachokiongea.

Hata hivyo watu wengine waliandika kuwa amefanya hivyo ili kuwavutia wanaume wasikilize anachokisema.
Ama kweli hizi ni nyakati za mwisho, watu kuvamia dini na kupotosha ukweli, sidhani kama  Mungu huyo anayemuhubiri anapendezwa na haya...

ANGALIA VIDEO HII HAPO CHINI
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger