Monday, March 4, 2013

HUYU NDIYE YULE MBUNGE ALIYENASWA AKIZINI NA WANAWAKE WAWILI KWA PAMOJA.....!!

Huyu ndo ndo Bwana Mkubwa Willie Knuckles aliyekuwa waziri wa mambo ya rais(Minister of Presidential Affairs) huko Liberia ambaye alilazimika kujiuzulu baada ya picha zake zilizokuwa zikimwonyesha akifanya tendo la ngono na wanawake wawili kusambazwa kwenye mtandao.

Kwakweli bado haijaeleweka hasa walioamua kumsambaza mtandaoni walikuwa na lengo gani naye zaidi ya 
kumdharirisha na kumfedhehesha namna hii.
 
Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwake na kwa familia yake,serikali ambayo yeye alikuwa ni mhimili wake na hata wananchi wote wa Liberia (picha hii nimekata "croping" makusudi kulinda maadili ya mtanzania,lakini shughuli iliyokuwa inafanyika nafikiri inaonekana).
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger