Saturday, February 16, 2013

WEMA SEPETU AONESHA PICHA ZA OFISI YA KAMPUNI YAKE YA 'ENDLESS FAME FILMS'

238b32b4783111e2ace922000a1f90f6_7
Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha picha za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films. Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni.
Tazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.
Washing roomWashing room
Wema ameandika: Managing director pale kati.... my lounge. Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge.
Ofisi ya EFFOfisi ya EFF
Meza ya editorMeza ya editor
6629c2d0783511e2ab6722000a1fb853_7
Kuelekea EFFKuelekea EFF
33880052783611e2ae8022000a9e2946_7
Ofisi ya sekretari wakeOfisi ya sekretari wake
ReceptionReception
Waiting LoungeWaiting Lounge
64f1248a783511e29b6422000a1c00c6_7
Ofisi ya WemaOfisi ya Wema
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger