Saturday, January 5, 2013

MAAJABU: ANGALIA PICHA YA MTOTO ALIYEZALIWA AKIWA NA MIGUU SITA!




Mungu anatisha, sasa wewe fanya ujeuri wako tu kwa kukufuru kwa viungo kamili ulivyojaaliwa!

KWELI kabla haujafa haujambika, hili ajabu ambalo limetokea huko barani ASIA ambapo mtoto mmoja mdogo aligundulika kuwa na miguu sita....!!  Hii inasikitisha sana jamani... wanadamu tumrudie MUNGU jamani...
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger