Saturday, January 19, 2013

LADY J DEE AMALIZA ZIARA YAKE YA KUUPANDA MLIMA KILIMANJARO..


Msanii wa bongo Fleva maarufu kama Lady Jaydee hatimaye siku chache zilizopita amefanikiwa kumaliza ziara yake ya siku sita ya kihistoria ya kupanda mlima wa Kilimanjaro.

Ziara hiyo ilianza siku ya January 8, dhumuni la kuupanda mlima huo alisema ni kutangaza utalii wa ndani ya Nchi ya Tanzania na maliasili mbalimbali.       




Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger