Wednesday, January 9, 2013
AIBU: VIDEO YA MWANAMKE ALIYEFUMANIWA NA MUME WA MTU HUKU AKIWA NA HIRIZI KIBAO....HII NI LAANA.
Mume wa mtu ni sumu......Mke wa mtu ni sumu.....Hii ni kauli mbiu yetu.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiripoti juu ya matukio mbali mbali ya fumani.Nia yetu ni kuikumbusha jamii kuwa matukio hayo ni ya aibu na yanapingana kabisa na maadili yetu...
Japo tukio ni la muda mrefu kidogo, lakini tumeona si vibaya tukaliweka tena ili jamii iendelee kujifunza.....
Hii ni video yenyewe ya mwanamke aliyenaswa akivunja amri ya sita na mume wa mtu....Bofya "play" kuisikiliza
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment