Saturday, December 22, 2012

VIDEO: JAMAA AANGUSHIWA KICHAPO NA CHANGUDOA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI!!


KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida  kijana mmoja alijikuta akichezea kipigo kutoka kwa malaya aliye lalanae kwa kosa la kutolipa fedha baada ya kuhudumiwa usiku mzima huko  nchini kenya....

 Malaya huyo Alisema kilicho muumiza mpaka kupelekea kumpiga kijana huyo ni kwasababu kijana huyo alipewa stahili zote alizo hitaji wakati wakifanya mapenzi halafu mwisho wa siku kijana huyo akazingua kulipia huduma aliyopewa .


Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger