Sunday, December 16, 2012

AIBU: WANASWA WAKIZINI SHAMBANI....!!






Hii ni Aibu na laana ambayo wanadamu tunaonekana kujitafutia kwa sasa, kwa kile kilichoonekana ni uvunjifu wa Maadili jamaa mmoja RAIA wa kenya alinaswana  na CAMERA yetu Live akibanjua AMRI ya sita  na Mke wa mtu SHAMBANI.... Chanzo chetu kinatuhabarisha kwa kudai kuwa jamaa huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja alidakwa akiwakavua SURUALI yake na mwanamke kadhalika na kuanza kufanya UPUMBAVU WAO...

RIPOTA wetu ametupasha ya kuwa baada ya kunaswa wagoni hao walionekana kujawa na aibu kubwa tena hususani kwa mwanamke ambaye aliamua kuuficha Uso wake kwa aibu kubwa mabyo waliipata... 




Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger