Monday, November 26, 2012

BREAKING NEWZZZZZZ: MSANII SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA!!!



KWA hapbari Tulizozipata hivi punde kutoka kwenye UKURASA wa nani  mkali wa Tanzania ni kwamba yule msanii wa BONGO FLEVA na mwigizaji maarufu wa vichekesho hapa NCHINI 'SHARO MILONEA; haatunae tena. Taarifa zaidi kuhusu kifo chake na sababu hasa bado hatujazipata,ENDELEA KUWA NASI wakati waandishi wetu wakiendelea kufuatilia kwa kina undani wa habari hii na tutakujuza hivi PUNDE.............
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger