Friday, October 19, 2012

Rayuu afukuzwa kwao, kisa kikiwa ni kupiga picha za utupu mtandaoni


WAKATI msanii wa bongo movie Rayuu, picha zake zinazoonesha sehemu kubwa ya mwili wake na tattoo kuvuja mtandaoni, ishu hiyo sasa imechukua sura mpya baada ya kudaiwa amefukuzwa kwao na sasa amepata makazi ya muda kwa mkurungezi wake Mr Chuzi ambaye mara nyingi amekuwa akimshauri kuachana na vitendo vinavyoweza kumchafulia jina lake.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger