Wednesday, April 20, 2016

Picha: Gari lazama baharini Kivukoni Dar, lilikuwa na abiria 2


Gari moja limezama baharini eneo la Kivukoni lilipokuwa limeegeshwa likisubiria kivuko.

Inasemekena kuwa gari hilo lilikuwa na abiria wawili wakati likizama. Hadi hivi sasa mtu mmoja (Mwanaume) amekwishapatikana kwani wakati gari linazama aliruka nje ya gari. 



Harakati za Waokoaji kutafuta mwili wa pili (mwanamke) zinaendelea na inahisiwa yupo ndani ya gari. Hadi sasa gari halijaonekana.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger