Saturday, October 20, 2012

MSANII WA CAMP MULLA APIGA PICHA ZA UTUPU


Miss Karun  ni msichana pekee  ndani ya  kundi la Camp Mulla....Upekee  huo  umemfanya   atake  kujulikana zaidi kupitia  sifa  za  kijinga  za  kujianika  hadharani  akiwa mtupu........





 Picha hizo zimeanza jana  kusambaa  kwa kasi mitandaoni .Katika utetezi wake, mrembo huyo amekanusha kwa  kudai kuwa  hiyo  ni sura yake lakini eti anahisi "amepikwa"


Shukurani za dhati kwa  Daily Post
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger