Wednesday, October 31, 2012

Pombe Yawaingiza Choo Cha Kiume Nisha na Baby Madaha



MASTAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na Baby Joseph ‘Baby Madaha’ juzikati walijikuta wakiingia kujisaidia choo cha kiume bila kujielewa.

Ishu hiyo iliyopigwa chabo na mpekuzi wetu, ilijiri hivi karibuni katika hoteli moja jijini Dar wakati mastaa hao walipokuwa wakimpongeza Flora Mvungi kutokana na kufanyiwa sherehe ya kumtolea mahari.


Pasipo kujielewa baada ya kilevi kufika mahali pake, wauza nyago hao waliovamia gemu la muziki, walijikuta wanazama katika choo cha kiume kwenda kujisaidia haja ndogo 



Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger