Hii Picha imepigwa huko Kenya Kwenye Shule Moja ya Secondary Ambapo kuna Wanafunzi wengi tu kutoka Tanzania...Je ni Uchafu huu utakomeshwa Lini Mashuleni....Inatia Kinyaa Sana Kuona vitu Kama Hivi vinafanyika na watoto wa Dogo tena wazi wazi....Wakuchapa Sana Hawa.
Wanafunzi ambao tunawategemea katika kuifunza jamii yetu mambo kwa sasa ndio ambao wanaongoza kwa kupandikiza hila na tabia chafu miongoni mwa jamii nyingi za hapa kwetu Africa
0 comments:
Post a Comment