
Mashallah mtoto Black Beauty na make up imetuliajeee. Kama kupendeza alipendeza na yatupasa kumpa sifa zake pale anapostahili kupewa.

Mambo ya arabian night chezea! Macho yanaitajeeeee

Unambiwa mauno yalikuwa hatari

Red red tuuuuuuu naskia ndo zilitawala, na alizimwagajeee. Nasubiri ya Wema sasa maana nadhani itakuwa funga kazi

Wema akifanya vitu vyake chezea! Ilikuwa full kumtunza shosti wake. Bi harusi mpaka chiniiiiiiii
Wadada walitokelezajeee

Salome na sister wake walikuwepo na wametokelezajeee

Muke ya mzungu

Kitu cha arabian night chezeaaa bongo movie star aka bongo celebrity. Shughuli hii ilifanyika siku moja kabla ya kitchen party. Tunasubiri Send off maana tumeambiwa kila kitu kitafanyika kinyume na tulivyo zoeaaaaa. Iga ufe
0 comments:
Post a Comment