Wakati aliyekuwa mpenzi wake wa zamani LORD EYEZ akisota RUMANDE, msanii RAY C naye ataka kujiua. Habari tulizopenyezewa na chanzo chetu cha siri cha habari zinasema kuwa mwanadada huyo ambaye afya yake kwa sasa sio nzuri ya kuridhisha kutokana na kuchakazwa vibaya sana na madawa ya kulevya ambayo alikuwa akiyatumia hapo awali.
Kama kweli atatimiza lengo lake hilo la kujiua basi tutashudia kwa mara ya kwanza kwa msanii maarufu kama huyo kuamua kutoa uhai wake mwenyewe bila sababu. Lakini chanzo chetu kimezidi kutupasha kuhusiana na undani wa habari hiyo na kudai kuwa madai hayo ya RAY C yanatokana na hali ngumu ya kimaisha aliyokuwa nayo kwa sasa na kutopata msaada wowote kutoka kwa jamaa wa karibu na msanii huyo.
Mama mzazi wa msanii huyo kwa sasa anatapatapa kuomba msaada ili kuinusuru hali mbaya aliyokuwa nayo mwanaye huyo.
'HIVI WASANII WA KIBONGO MNA LAANA GANI JAMANI, HIVI NYINYI NDIO VIOO VYA JAMIII KWELI????!!! '
0 comments:
Post a Comment