Friday, October 26, 2012

Machangudoa wanusurika kukaamatwa wakiwa wanajiuza!!

Makahaba hao ambao mara tu baada ya kuwaona Askari wakilinyemelea windo lao
la kila siku waliamua kutimua mbio na wengine kusahau hata mikoba yao kwa
shauku ya kusekwa rumande. Wimbi ala makahaba limekuwa likiongezeka mno
hususani nyakati za usiku ambapo biashara hiyo ya kuuza miili inaonekana kushamiri sana
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger