Thursday, October 25, 2012

BINTI wa brazili ainadi BIKRA yake kwa $780,000




MWANAFUNZI wa brazili Aliyetambulika kwa jina la CATARINA ameibbuka na kutangaza kuiuza bikra yake kwa yeyote mwenye kiasi cha $780,000 aliaweze kutiza haja zake.
Mpaka sasa wameshajitokeza watu kadha kutoka mataifa mbali mbali wakiwemo Natsu kutoka JAPAN,Jack Miller na Jack Right kutoka AMERICA amabao wote wameonyesha nia thabiti ya kutaka kuinunua bikra ya mdada huyo.

Aidha yeye mwenyewe CATARINA ameainisha kuwa pesa zitakazopatikana atazitumia kujenga mahema kwaajili ya watu maskini ambao hawana malazi.


HII NI PICHA YAA MLIMBWENDE HUYO  

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger