Monday, June 6, 2016

Video: Majibu ya Sober House Baada ya Taarifa za Chid Benz Kutoroka Kituoni Hapo Kusambaa

March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz Babu Tale alimpeleka  msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz  Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre kwa ajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa kulevya na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo.

Headlines za kutoroka kwa msanii huyo kwenye nyumba hiyo ya kuhudumia waathirika wa dawa za kulevya zilianza baada ya watu kumuona msanii huyo akiwa mtaani. June 5 2016 Mkuu wa Kituo hicho cha Sober House ameelezea ukweli wa msanii Chid Benz kwenye kituo hicho.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger