Friday, June 3, 2016

Video: Jibu alilotoa Aunty Ezekiel Kuhusu Ndoa na Mose Iyobo

Mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na moja ya maswali ameulizwa ni kuhusu ndoa na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, yuko tayari kwa ndoa?

Amejibu
Mose Iyobo ameniambia kuhusu ndoa lakini sijui, naiona poa kwasababu mwisho wa siku mwanangu anampenda sana baba yake na siko tayari kumpoteza Iyobo kwasababu ya mwanangu, yani ukiacha mazingira mengine yote nimemuahidi mtoto wangu furaha ya milele
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger