
Msanii Bruno Mars alizaliwa tarehe kama ya leo October 8 mwaka 1985

Mwigizaji,mchekeshaji,mtangazaji Nick Canon ambaye pia ni mume wa Mariah Carey leo anasherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa.Alizaliwa 8 October mwaka 1980

Muigizaji Matt Damon naye alizaliwa tarehe 8 October,mwaka ilikuwa ni 1970.

Mchungaji,mwanaharakati Jesse Jackson pia alizaliwa October 8,mwaka ilikuwa 1941.
0 comments:
Post a Comment