Chidi Benz
Rapper Chidi Benz amefanikiwa kuirudisha afya yake baada ya kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya.
Chidi Benz na Babu Tale
Mapema mwaka huu katika kituo kimoja cha runinga Chidi Benz alikiri
kutumia Madawa ya kulevya na kuomba msaada ambapo meneja Diamond na Tip
Top Connection, Babu Tale akishirikiana na Kalapina walimsaidia na
kumpeleka katika kituo cha Bagamoyo Sober House ambacho kilimsaidia
kuachana na Matumizi ya madawa ya kulevya.
Chidi Benz na Harmonize
Jumatano hii katika mitandao ya kijamii kumesambaa picha mpya za
rapper huyo zikimuonyesha jinsi alivyopendeza hali ambayo imewafanya
mashabiki kumpongeza Tabu Tale.
Haya ni maoni ya baadhi ya mashabiki.
Sharifujuma00
Babu tale tunakushukuru sana mweyezimungu akulinde chidy kazaliwa upya
kawa mtoto mchanga aendelee namsimamo huohuo wakuacha ngada
Abduly_iddy
Katik mameneja wote tz cjaon km ww @babutale mungu awe nawe nashangaa xn
wanaokutuc labd hawajui umuhm wk ila umenifurahish kweny interview eeet
matuc km vil wanakup juice 
big up mzee


Official_thuwebseif
Wenimtu wapekee atakwamacho tu mtu akikutizama we nimtu safi watu km
nyie mpo wachache allah akujalie kher na afya njema @babutale
Stambulya
Asante Babtale kutuludishia jembeletu na kuanzia sasa tunamuita Chiditele, si Chidbebenzi
Fauzinho1
May God bless you @babutale for what you did for Chidi Benz
Gendi3054
Thanks @babutale kwa hili… Mungu aendelee kukutumia na kwa wengine,,,, pls talk to ray c too.. I real believe it can work.
0 comments:
Post a Comment