Friday, June 10, 2016

Gigy Money: "Naangalia Pesa Kabla Sijamkubali Mwanaume....."

Msanii wa Bongo Fleva na video queen, Gigy Money amesema kuwa anaangalia pesa kabla hajamkubali mwanaume.
Akiongea na Times FM, Gigy Money alisema, “naangalia pesa kabla sijamkubali mwanaume, unajua kuwa na mtu maskini inaleta stress tu, napenda pia wanaume wazuri,” alisema.
Gigy ametokea kupata umaarufu kutokana na maisha yake controversial.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger