Inawezekana
ukawa ni miongoni mwa watu wanaopenda kuandika ujumbe au chochote
kwenye kurasa za mastaa wa kibongo huku ujumbe ukawa unawaumiza au
ukapendwa kwa kile ulichokiandika, sasa staa wa Bongo Movie Wema Sepetu
ameonekana kuguswa na kauli ambayo hatoisahau katika maisha yake baada
ya Shabiki kuandika kwenye instagram.
Kwenye interview na Ayo tv Wema Sepetu ameitaja kauli hiyo……
‘Niliambiwa kwamba mimi ni mgumba nitaishia kupost watoto za watu, wewe wa kwako hatutamuona utaishia kubeba mbwa tu‘ ,Wema Sepetu
0 comments:
Post a Comment