Mkali wa Bongo Fleva ambae haishi kuwachana mastaa wenzake. Nay wa
Mitego, amewatupia vijembe wasanii wa kike wa bongo movie wanaopenda
wasanii wa Bongo Fleva wanaochipukia na kuhit redioni.
Kupitia video aliyoipost kwenye account yake ya instagram amewataja
warembo hao kuwa Jacqueline Wolper, Nisha pamoja na Shilole. Amesema
wasanii hao ni kiboko kwa kukwapua wasanii wadogo ambao single zao
zinafanya vizuri.
0 comments:
Post a Comment