Usiku wa Mei 1, 2016 Mrembo ambaye alianza kutamba katika Bongomovie na baadae kuingia katika muziki wa Bongofleva Snura Mushi alifanya show maalum kwa ajili ya kuachia single yake iitwayo Chura mkoani Dodoma Club Maisha Basement.
Mashabiki wa Snura walijitokeza kwa wingi na hivi ndivyo ilivyokuwa,tazama hii video hapa
0 comments:
Post a Comment