Thursday, May 12, 2016

Video: Maelekezo ya kutumia card za kulipia nauli kwenye Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam

Kuanzia wiki ijayo wakazi wa Dar es salaam wanaanza kulipia kupanda mabasi yaendayo haraka ambayo yatasafirisha abiria kupitia barabara maalum zilizotengwa, sasa hivi nakuunganisha na maelekezo ya kutumia kadi za malipo kwa kutazama hii video hapa chini.
 
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger