Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi mpya wa
Tanzania nchini Japan, Balozi Mathias Chikawe, alipofika kumuaga katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, jana, Mei 9,
2016.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Balozi Mpya wa Tanzania
nchini Japani, Balozi Mathias Chikawe, baada ya mazungumzo yao
Balozi
wa Tanzania nchini Urusi, Balozi Mathew Kisamba akisaini kitabu cha
wageni, alipofika kumuaga Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya
Kikwete, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es
Salaam, jana
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi wa Tanzania
nchini Urusi, Balozi Mathew Kisamba alipofika kumsalimia katika Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, jana, Mei 9, 2016.
(Picha na Bashir Nkoromo)
(Picha na Bashir Nkoromo)
0 comments:
Post a Comment