Tuesday, May 10, 2016

Moses Iyobo Azungumzia Kupata Mtoto Mwingine wa Kiume na Aunt Ezekiel

Wakati mtoto wa Aunt Ezekiel na Mose Iyobo akikaribia kutimiza mwaka mmoja hivi karibuni, Mose amefunguka kuhusu kupata mtoto mwingine wakiume na mrembo huyo kutoka kiwanda cha filamu.

Akizungumza na Bongo5, Mose amesema kwa sasa anafurahia maisha na mrembo huyo wa filamu na soon watapata mtoto mwingine wakiume.

“Sasa mimi na Mama Cookie tuna mipango endelevu, kama hivyo ushamuona Cookie bado kuna kaka yake Cookie anakuja na vitu vingine vitaendelea, soon mtasikia tu,” alisema Mose.

Mose alisema anafuraha kuwa kwenye mahusiano na Aunt Ezekiel.

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger