Friday, May 27, 2016

Exclusive Video: Wema Sepetu Ajitabiria Kifo, Msikie Mwenyewe Hapa

Watu wengi hupenda mafanikio au wengi hupenda kua maarufu, mfano mzuri ni mwanadada Wema Sepetu. Ni mmoja wa waigizaji wa kike wachache wenye mashabiki wengi zaidi. Na katika hilo amefungua miradi mingi ikitumia jina lake mfano ni ile TV Show yake ya Wema In My Shoes, Lipstick za Kiss By Wema Sepetu na mwisho kabisa ni Wema Sepetu Application ambayo ameianzisha hata wiki haijaisha.
Pamoja na watu wengi kuona mambo yanamnyookea star huyo, Wema Sepetu amekua na mawazo yakimsumbua sana kichwani. Kwani siku za karibuni amekua akiota kua siku yake ya kufa imekaribia. Mara nyingi ameota kua kafa na kazikwa.

Tumebahatika kupata video Exclusive ya Wema Sepetu akielezea ndoto hizo. Unaweza msikiliza hapa chini......
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger