Wednesday, April 20, 2016

UPDATE: Mwili Uliozama na Gari Baharini Jijini Dar es Salaam Wapatikana

Mnamo majira ya saa 10 alfajiri, gari aina ya Hiace  iliteleza toka kwenye kivuko na kutumbukia katika bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.

Gari hiyo ilikuwa na abiria wawili. Mpaka majira ya asubuhi, jeshi la zimamoto na uokoaji lilifanikiwa kuupata mwili mmoja na likaendelea kuutafuta mwili wa pili. 
 
Mchana  huu  umepatikana mwili wa pili  wa Nice Karagwe  huku zoezi la kuitoa gari likiendelea
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger