Picha za uchi zimeonekana kuwa ni moja ya njia za kupata kick kwa
wasanii wa nje. Mwanzoni ilionekana picha hizo zinapigwa na mastaa wa
kike zaidi kama, Kim, Amber Rose na wengine lakini Usher Raymond
amebadilisha huo mtazamo.
Msanii huyo mwenye heshima kubwa duniani, ameshtua mtandao baada ya
kupost picha akiwa anaoga nusu utupu. Moja kati ya picha hizo
inamuonyesha Usher akiwa mtupu kabisa bila nguo.
0 comments:
Post a Comment